Header Ads

Breaking News
recent

ASKARI NAYETUHUMIWA KWA MAUAJI YA MWANDISHI WA HABARI WA IRINGA AFIKISHWA MAHAKAMANI.

Asili Yetu © All rights reserved


Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia FFU mjini iringa,Pasificus Cleophace Simon, mwenye umri wa miaka 23, amefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Iringa kwa tuhuma za kumuua kwa kukusudia aliyekuwa mwandishi wa habari wa kituo cha runinga cha Channel ten mkoani Iringa,Daudi Mwangosi.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.