Header Ads

Breaking News
recent

IDADI YA WATU WALIOFARIKI KWA AJALI KATIKA KIJIJI MKIRINGO IMEFIKIA WATU 13.

Asili Yetu © All rights reserved


Idadi ya watu ambao wamepoteza maisha kufuatia ajali ya gari ambayo imetokea katika kijiji cha Mkiringo nje ya manispaa ya Musoma mkoani Mara,imefikia watu kumi na tatu wakiwemo askari wawili wa jeshi la kujenga taifa Rwamkoma huku wengine kumi na tano wakiendelea na matibabu katika hospitali ya mkoa wa Mara mjini Musoma .

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.