Asili Yetu © All rights reserved
Baada
ya kuwa kitendawili kuanzia asubuhi ya leo hatimaye muda mfupi uliopita
Imethibitishwa tayari kupitia Clouds Fm kuwa msanii wa kimataifa wa Hip Hop
kutoka Marekani Rick Ross atadondoka bongo kwa ajili ya Fiesta ya Dar es salaam
itakayofanyika October 6, 2012.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA