Asili Yetu © All rights reserved
Rais Jakaya Kikwete akikagua mabanda mbali mbali ya TASAF na kupewa maelezo machachekatika mabanda hayo katika uzinduzi wa awamu ya tatu wa TASAF jijini Dodoma leo.
Rais Kikwete akiangalia aina mbali mbali za dibidhaa katika mabanda ya TASAF Dodoma.
Rais Kikwete akipewa ufafanuzi katika daadhi ya mabanda aliyotembelea.
SOURCE: www.wazalendo25.blogspot.com