All rights reserved to Asili Yetu.
![]() |
WANADADA EFFECT ZERO (pembeni) NA KATIKTI NI DJ MIDO PLUS. |
Wimbo huu toka kwa effect zero ni matokeo ya freestyl na hatimaye uamuzi wa kuweka sauti sambamaba na kundi la REC la kule Jamaica katika wimbo wao wa "ting deh",Effect zero wakiwa na official tracks zao binafsi,wametokea tu kuupenda "ting deh" na hatimaye kuuaribia mdundo huo kama vile mangwea alivoharibia ile track ya Marques Houston-Clubbin" kipindi kileee.hapa ting deh ya effect zero ndo bongoversion, strictly for fun...enjoy.
Credits ziwaendee R.E.C na DJ Mido plus noizmekah.com kwa kutupa mzuka
pia check original track ya wajamaica-http://www.youtube.com/watch?v=Fx4b6ZzFU0c
HII NDIO NGOMA ORIGINAL- "THING DEM"
Credits ziwaendee R.E.C na DJ Mido plus noizmekah.com kwa kutupa mzuka
pia check original track ya wajamaica-http://www.youtube.com/watch?v=Fx4b6ZzFU0c
HII NDIO NGOMA ORIGINAL- "THING DEM"