Asili Yetu © All rights reserved
Music is business but tha real Hiphop is in the streets."asema LP Nako Maarufu kama "LongProfit" toka ololoo kwa mastreet Dogz a.k.a "Junior Nako soldiers",Track hii ya "Maisha mapito" aliorekodi juu ya beat ya "DarshPandit" a.k.a Mnene wa Wanene Ent Arusha na vocal zikiwa zimesimamiwa na defxtro pande za noizmekah.com. Ni concious track yenye street philosophy kibao kuhusu utaftaji na msoto mtaa na nimeshirikiana na Donee from watengwa family. Fans wetu wategemee pini hili na zingine kibao from mixtape project yetu ya pamoja na Donee ambayo itapatikana soon tukimaliza kurecord,for interviews/booking/projects holla 0718894260..Hiphop For Life

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA