Friday, May 16 2025

Header Ads

PICHA MBALI MBALI KUTOKA KATIKA MOVIE ALIZOIGIZA STEVEN KANUMBA

All rights reserved to Asili Yetu.

Hapa ni wakati anatoa maelezo kuhusiana na movie movie hii.

Hapa jamaa tayari alikuwa akiigiza.
KIJIJI CHA TAMBUA HAKI
'BIG DADDY' Ukiona movie hii unakumbuka nini? Mimi nakumbuka yule mtoto alipoendesha gari mwenyewe na pia alipokuwa akisema  'why, why'.
Hapa Richard wa kati kati alifanya kama sup prize kuingia katika chumba walichokuwa wakiigizia na kuamua kuchukuwa picha ya pamoja.
BIG daddy ni movie ya kufurahisha sana, kwamfano wakati wanajibizana "WHY, WHY, WHY".

Leave a Comment

Powered by Blogger.