Header Ads

Breaking News
recent

KATY PERRY ADAIWA KUKATAA OFA YA DOLA MILIONI 20.

Asili Yetu © All rights reserved

                                                               KATY PERRY
Katy Perry anaweza kuondolewa katika orodha ya majaji wa "American Idol" baada ya kukataa kiasi cha dollar milioni 20 za ujaji. 

Mwanamuziki huyu aliyezaliwa California amewindwa sana na American Idol ili awe jaji wao, kitu ambacho wameamua kumuongezea zaidi $2 milioni ambapo ni zaidi ya Mariah Carey anazopokea katika mkataba wake. Katika mchongo huu wa kukataa kuwa jaji pia umetambaa na kwa mwanamuziki "Miley Cyrus" ambae pia amechomoa kuwa jaji.

Wanamuziki mwengine ambao wako katika ishu hii ya ujaji ni pamoja na "Nick Minaji, Keith Ubarn".

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.