Header Ads

Breaking News
recent

BOBBI KRISTINA AMKUMBUKA MAMA YAKE KWA KUJICHORA TATTOO MIKONONI MWAKE SIKU YA KUZALIWA KWA WHITNEY HOUSTON.

Asili Yetu © All rights reserved

 Bobbi Kristina amkumbuka mama yake Whitney Houston katika siku yake ya 49 ya kuzaliwa, kwa kujichora tattoo yenye maandishi "W H" ikizungukwa na njiwa wadogo wanne katika mikono yake. Bobbi akiwa na kaka yake Nick Gordon ambae ni mpenzi wake kwa sasa, walijisogeza pamoja katika store ya kuchore tattoo na kuchorwa wote pamoja. Nick Gordon ambae ni mtoto wa Whitney Houston wa kuadapt, ameoneka katika mtanao wa kijamii wa Twitter ameandika.....
"Happy Birthday Mom You will be forever missed."

Huku Bobbi Kristina akiandika......
"Now your truly ALWAYS with us mommy (: we love you @nickdgordon always&forever{<3}."

 Whitney Houston akiwa na binti yake Bobbi Christina wakati wa uhai wake.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.