All rights reserved to Asili Yetu.
Kina mama na kinadada wanaopenda kuhifadhi kucha zao na kuziongezea umaridadi wa rangi, hizi hapa ni aina tofauti tofauti za uchoraji wa rangi katika kucha. Sio lazima ufuge kucha ndefu bali unaweza kukata zikawa fupi na bado ukapendeza vile vile.Hapa unaweza kuchagua rangi na michoro inayokufaa na kuitumia katika kucha zako.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA