All rights reserved to Asili Yetu.
 |
JOSEE CHAMELEONI AKISHIRIKISHA MASHABIKI WAKE. |
Msanii Josee Chameleon maarufu huko kwao Uganda kama Dr Josee Chameleon ambae tokea apate ajali ya kuvunjika mguu huko Arusha na kuweka stop kurejea TZ, aliangusha shoo ya ukweli katika uwanja wa Taifa wa Dar es salaam.Staa huyo anayetawala muziki huko Uganda, aliwappagawisha mashabiki wake na nyimbo kibao za zamani, ila ilikuwa baaaaaasi pale alipoachia ngoma yake inayotamba kwa sasa ya "Valu Valu"
 |
WALIMKUBALI KAMA SIO KUMUELEWA. |
 |
JAMAA ALITAMBA HADI CHINI YA STEJI. |
 |
NIJAMAA MWENYE UWEZO MZURI KATIKA STEJI. |
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA