Header Ads

Breaking News
recent

JORDIN SPARKS ATENGENEZA FILAMU YA KUMUENZI WHITNEY HOUSTON.

All rights reserved to Asili Yetu.


JORDIN SPARKS

Mwanamuziki kutoka Marekani maarufu kama Jordin Sparks anashoot video ya track inayokwenda kwa jina la "Celebrate" ambayo ndiyo itatumika katika filamu yake mpya inayoitwa "SPARKLE". Mshindi wa American Idol season ya 6, amefunguka kuwa filamu hiyo ya SPARKLE ni kwaajili ya kulipa deni la marehemu Whitney Houston. Spark mwenye umri wa miaka 22 sasa, amefunguka kuwa filamu hiyo itandoka katika jumba la sinema la Marekani mapema Agost 17 mwaka huu.
Jordin Sparks ameigiza kama msichana mwenye elimu anayepambana ili awe star/ maarufu, huku familia yake ikitokwa machozi kwa matatizo kibao yanayo ikumba.
Alimalizia kwa kusema "Nitakupenda siku zote "Whitney" ambae pia aliigiza kama mama yake katika wimbo huo.


JORDIN SPARKS




No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.