All rights reserved to Asili Yetu.
![]() |
MALIKIA ELIZABETH II AKIONEKANA KATIKA MITOKO TOFAUTI TOFAUTI. |
Malikia Elizabeth II ni malikia wa wa kwanza nchini Uingereza kuwa madarakani kwa mda mrefu yapata mika 60 sasa.Katika picha hizi ameonekana katika mitoko ya matukio mbali mbali katika ziara zake.Sherehe za kutimiza miaka 60 katika uongozi wake zimefana sana.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA