All rights reserved to Asili Yetu.
Hivi karibuni kumejitikeza wimbi la uharamia katika mtandao wa kijamii wa Facebook ambapo maharamia wamebuni njia hii kwa kuwatumia watu ujumbe huu "I just got the dislike button, so now i can dislike all of your dump posts lol!!"
Mara utumiwapo ujumbe huu katika wall yako ya face book usisubutu kubonyeza link hiyo, kwasababu kunaaina ya virus inaitwa VIROTREX ukibonyeza hiyo link, inajiinstall kwenye kompyuta yako alafu inachukua password zako zote pamoja na maelezo yako yote ya siri.
Fuatilia blog hii kwa kujua maovu mengine ya kutisha ndani ya facebook yaliyoundwa na maharamia wa mtandao.
SHARE, TAG NA SAMBAZA UJUMBE HUU KWA NDUGU NA MARAFIKI ZAKO.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA