All rights reserved to Asili Yetu.
Chris Brown akionekana na jeraha kidevuni baada ya ugomvi.
Chris Brown kusikia hivo akanyanyuka na kumfata Drake ndipo walipoanza kubishana kuhusu Rihanna.Chanzo kinaeleza baada ya kuwa na ubishani huo hapo club, Drake alimtandika ngumi Chris usoni kabla hajajibu akamkabidhi chupa kidevuni.Hatahivo shuhuda walioshuhudia ugomvi huo wameeleza kuwa moja wa kundi la Drake ndiye aliyemtwanga Chris chupa ya usoni.Usiku wa kuamkia jana mastaa wawili yani Chris Brown na Drake walizikuja ngumi katika Club moya ya NYC iliyoko New York kwa kile kilichodaiwa walikuwa wakimpigania kimwana Rihanna.Wakiwa katika club hiyo wote walitambiana huku Chris Brown akianza kwa kumtumia chupa ya Shampen Drake.Drake nae hakukawia aliirudisha huku ikiwa imeambatana na ujumbe huu...“I’m f**king the love of your life. Get over it.”
Ugomvi haukuishia hapo Chris Brown aliruka mpaka Twitter akafunguka kama hivi..
Chris Brown akiwa katika eneo la tukio.
Mpango mzima ulitokea katika eneo hili ambalo unaona limetapakaa vyupa vilivyovunjika.Pembeni kulia ni Chris Brown na kwa mbele kabisa ni Drake.



No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA