All rights reserved to Asili Yetu.
JUSTIN BIEBER
Takribani wiki moja sasa tokea Boy friend wa Selena Gomez (J-Bieber) kuachia album yake mpya inayokwenda kwa jina la "Believe".Maharamia wa mtandao wa internet wamekisanua na baadhi ya ngoma za Justin Bieber kama "Take You", "Fall" na "Maria".Hata hivyo japokuwa nyimbo hizi zimevuta katika internet, ni miongoni mwa nyimbo zinazohiti katika mtandao.Kama ni shabiki wa Justin Bieber basi tupia macho hapo chini....

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA