All rights reserved to Asili Yetu.
![]() |
Hassan .J Mosoka akitunukiwa masters ya 'Arts In Organizational Management Ohio nchini Marekani. |
![]() |
Hassan baada ya kupokea master yake, mpango mzima. |
![]() |
Hassan (kushoto) akiwa na Kajungu ambae pia yuko huko Marekani. |
![]() |
Hassa akipongezwa na Judith. |
![]() |
Hawa ni wabongo walioko huko Marekani, wakiungana kumpongeza Hassan. |
![]() |
Baada ya hapo mpango mzima ulisababishwa na Mr. Kajungu, yani Nyama full kujilamba. |
![]() |
Hongera sana kaka kwa kazi ngumu uliyofanya hatimae umeikamilisha. |