SINGLE MPYA KUTOKA KWA MALMANDO (MECCACHEKA) INAYOFAHAMIKA KAMA "Cheka Ung'atwe"
All rights reserved to Asili Yetu.
![]() |
| Mecca Cheka |
![]() |
Ikiwa ni Single yao ya pili hewani,Almando Rizzy na Almando mwirora
ambao kwa pamoja wanaunda kundi la MeccACheka wanarudi upya hewani
wakiwa na brand new track ilopikwa pande za arachuga ndani ya
noizmekah.com.."Huu mwaka 2nafanya bidii sana kuiweka crew katika ngazi
ya juu kwamaana tumeshaamua kufanya muziki kazi,"Producer Moscow Ndo
kaunda mdundo huo na vocal session mixin mpango mzima kwa DefXtro,2ko
pamoko sana watu wetu enjooooooyyyyyyyy!!!


No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA