All rights reserved to Asili Yetu.
Jerrilyn ni msanii kutoka
Laiberia, ambaye shughuli zake anazifanyia nchini
Afrika ya Kusini.Jerrilyn ametoa video mpya inayokwenda kwa jina la
"Rock me baby a.k.a "Leka". Ofcoz video hiyo imeonyesha mazingira halisi ya kiafrika, wanaonekana kama wako porini hivi, pembeni wamepaki baskeli zile za mizigo.....
Itazame hapa.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA