Header Ads

Breaking News
recent

KAMPENI ZA UBUNGE MKOANI ARUSHA ZA PAMBA MOTO

All rights reserved to Asili Yetu.

Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labour Part (TLP) Augustino Lyatonga Mrema akiwahutubia wananchi katika viwanja vya Tengeru , katika uzinduzi wa kampeni za chama cha TLP mkoani Arusha.
Mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA wakati alipotembelea soko la Tengeru nje kidogo ya mji wa Arusha.
Hawa ni baadhi ya wafanya biashara wa soko la Tengeru lililoko mkoani Arusha wakiwa na mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA..

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.