All rights reserved to Asili Yetu.
 |
| "My Sugar Cane" ni video ya wimbo mpya wa msanii SOS akiwa amemshirikisha msanii mpya katika muziki anaeitwa Peter.Kazi hiyo imefanyika katika kampuni mpya ya muziki ya Katenga Intertainment.Video imechukuliwa katika maeneo ya magharibi mwa Kenya. Hii ni moja ya kazi kutoka Katenga Intertainment inayolenga kuwasaidia wasanii wasiyo na uwezo wa kulipia kurekodi studio.Unaweza kuicheki hapo chini....... |
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA