Header Ads

Breaking News
recent

VAZI LA HARUSI LILILO VUNJA REKODI YA DUNIA

All rights reserved to Asili Yetu.

Vazi hili la bibi harusi limevunja recordi ya dunia, baada ya kuwa linaulefu wa maili 1.85 sawa na viwanja vya mpila wa miguu takribani vinne na iwapo bibi harusi atatembea juu ya ardhi, basi watahitajika watu wengi sana wa kuihudumia shela hiyo.Vazi hilo kutoka barani ulaya, limegharimu dola taslim 7,300 mbali na gharama za wafanyakazi wake huku likiwa limetengenezwa kwa siku 100. Baadhi ya watu wamekerwa na kitendo hicho, huku wakisema "si ni bora hizo pesa za ununuzi wa malighafi walizotumia wangesaidia kujenga shule za watoto!"

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.