Header Ads

Breaking News
recent

WONDERFUL,CAN YOU BELIEVE THIS HAPPENS TO MUSICIANS.

All rights reserved to Asili Yetu.

 Hivi ni kweli usemi huu unaweza kuwa unatimilika hata hapa kwetu Bongo? "ONCE YOUR A MUSICIAN, YOUR ALWAYS A MUSICIAN" hata uzeeke! Hivi ni wasanii wangapi hapa Bongo wenye mazingira ya kuhimili game mpaka wakaitwa babu? Au nini kifanyike hawa wasanii waweze kudumu katika game? Huenda usemi huu ukawa wa kweli kwa msanii huyu "LUIS ARMSTRONG".

Kwa wewe binafsi ni wasanii wangapi unao wafahamu ambao wamefikisha umri wa uzeeni katika sanaa ya muziki? UNAWEZA KUTOA MAONI YAKO HAPO CHINI.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.