Header Ads

Breaking News
recent

MSANII KUTOKA JAMAIKA (CE'CILE) AFUNGUA KAMPENI YA "MAKE A CHANGE" HAPA AFRICA.

All rights reserved to Asili Yetu.

 Msanii wa dance hall 'Ce'cile Charlton' kutoka Jamaica, amefungua campain maalum hapa Afrika inayofahamika kama " Make A Change" ambayo inalenga kuboresha afya, elimu, kupambana na njaa na kutoa nafasi za kimaendeleo kwa vijana wa Afrika.

Kampeni hiyo itajumuisha  wasani mbali mbali kutoka Jamaika kama;.'Christopher Martin, Sherieta Lewis,Mavado,Gentleman, Lush na wengine kutoka Afrika kama Nigeria, Ghana na Afrika ya kusini.Hawa wote  wameshirikishwa katika single mpya ya mwanadada wa Kijamaica anayefahamika kama 'Ce'cile'.Show hiyo itamalizika mwezi huu kule nchini Kenya.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.