Header Ads

Breaking News
recent

MATUKIO YA WIKI MKOANI ARUSHA

All rights reserved to Asili Yetu.

Wakazi wa Sakina Mkoani Arusha wakiwa wanashangaa kuona mwili wa mtu aliyekutwa amefariki ndani ya mfereji mdogo wa maji katika maeneo ya Sakina.Kijana huyo ambaye alikutwa amefariki majira ya saa tatu asubuhi wiki hii, haikuweza kufahamika  kwa muda huo  nini chanzo cha kifo chake na polisi waliendelea na uchunguzi.
Hapa ni baada ya kuwa polisi wamekwisha mtoa na kumpeleka kwenye gari.

Hapa tayali polisi wamesha uchukuwa mwili wa kijana huyo na kuelekea polisi.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.