![]() |
Hapa ni Gadiola wa Wazalendo 25 blog akiwa na jembe letu Kennedy The Remedy kutoka Triple A Radio wakila gu time za week end.Mpango haukuishia hapo, uliendelea........ |
![]() |
Mwanadada alikuwa kama amenuna
hivi wakati tunaanza safari, lakini alijikuta akila happy za ukweli na Chima B, safari yetu ikawa ndo imefunguka hivo, unajua
nini........
|

Tulipark mkoko wetu out side,kila mmoja akihitaji kufika anako kwenda. (kulia) ni mwana dada Mercy, (kati kati) ni Gadiola na (kushoto) ni Kenny. Hakuna raha kama ku have funny with your friends! tulichokikuta huko ndani.......twendelee.
![]() |
Wow! Nilijihisi kama niko def jam hivi baada ya kutinga
ndani ya mjengo wa Nisher Record Studio.Studio imetapakaa microphones kibao,
hedphones pamoja na guiter kibao.Kwa kukisia huenda ikachukuwa wasanii kama 50
hivi kwa pamoja na wote wakafanya kazi.
Equipment ziko classic kama unavyoona
anawasanii wa label yake, wengine kutoka Dar na sisi wenyewe.Tukiwa pale
tulikuta ameachia ngoma kadhaa hivi mojawapo ikiwa ni ngoma yake mwenyewe
inayokwenda kwa jina la "Siko Peke Yangu" bonge la ngoma!! Nisielezee
sana, karibu ujionee mwenyewe pia!
|
![]() |
Na hapa ulifika mpango mzima wa kurejea ma kwetu, wakati huo mwanadada Mercy akiwa ameshika camera. Asante kwa kushare furaha yetu pamoja.
|
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA