All rights reserved to Asili Yetu.
![]() |
| Hapa ilikuwa mida ya lunch, tulijisogeza kiwanja kula bata then mida yakazi iendelee. |
![]() |
| Gadiola a.k.a baba G akiwa na Keny The Remeddy wakipata lunch ya ukweli pande za A.Town. |
![]() |
| Kiukweli msosi ulikuwa mtamu sana, mara Asili Yetu ikatinga na kamera, duh! Ikawa hivo sasa!! |
![]() |
| Gadiola akiwa na Machota wakila bata ya lunch maeneo flani hivi. |
![]() |
| Keny akijaribu kufikiri "now mida yakazi ndo hii, so nijimovuzishe zangu kimpango". |
![]() |
| Machota akiwa na Wazalendo25 blog wakila nice time za town. |






ivi nyie wakaka mwalaga chipsi niza kwa rusti bila kukosa
ReplyDeleteKaribu sana dada yetu tuvunje mayai,ndo mpango mzima.
ReplyDelete