All rights reserved by Victor Machota.
HipHop Mc Frost toka kundi la TGP from Arachuga amemshirikisha Moplus
katika pini jipya kabisa linalokwenda kwa jina "Way Back"...Hii ni solo
project ambayo inafungua mwaka kwa Frost kudrop hapo baadae na Album
yake itakayotoka karibuni...
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA