"All rights reserved by Victor Machota.
Mshindi wa tuzo za nyimbo za injiri anayeitwa "Kambua" kutoka nchini Kenya, ameachia wimbo wake mpya unaoitwa "Nisikie" ulio na mahadhi ya kuabudu.
Mwimbaji huyu ametumia kingereza katika verse zake, lakini anaporudi katika kiitikio basi nakubariki na kiswahili.Wimbo huu ni sifa kwa Bwana hasa pale anaposhuka na kumshindia majaribu. "Nisikie" ni wimbo ambao unaweza kuusikiliza au ukaimba wakati unapohitaji kufanya maombi na hapo utakusogeza karibu sana na uwepo wa Mwenyezi Mungu.Akiwa na degree ya muziki, "Kambua" alikuwa kama background vocalist kwa wasanii wengi kabla ya kuwa solo artist. Amekwishafanya kazi na DNA,Mbuvi,Jimmy Gait na Daddy Own.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA