Header Ads

Breaking News
recent

KAA TAYARI KWA SPRITESLAM CONCERT 2011 - ARUSHA & MOSHI


SPRITE... TII KIU YAKO!!!!!
Hawa ni junior Kings na Spider wakiwa katika mchuano mkali katika Spriteslam concert iliyopita mwezi wa 9.
KUTAKUWEPO NA WAKALI WA KUDUNK
SPRITESLAM CONCERT ARUSHA- MOSHI

§  Sprite inakuletea Spriteslam Concert 2011 ndani ya Arusha na Moshi, ni weekend hii ambapo wakali wa Basketball wa miji hii watachuana vikali..
§  Spriteslam Concert ndani ya Arusha itakuwa Ijumaa hii tarehe 14 October, katika viwanja vya Soweto.
§  Na pande za Moshi  Spriteslam Concert itakuwa Jumamosi hii tarehe 15 October, katika viwanja vya Chuo Cha Polisi (CCP).
§  Njoo uwaone machalii wa kitaa wakichuana vikali katika fani mbalimbali za Urban Expression, kutakuwa na;
1.    Michuano ya 3 on 3 Basketball ..
2.    Streetdance competitions na;
3.    Hip Hop Battles aka kuchana!!
4.    Washindi watakwenda Dsm kukutana na wakali wengine wa Mwanza, Mbeya, Dodoma na wenyeji Dsm.
§  Spriteslam Concert itakupa pia burudani kutoka kwa Mwana Hip Hop mwenye tuzo ya wimbo bora wa Hip Hop, mwenye tuzo ya Collabo, mzee wa…. Ukiskia PAAA!! …… J, C, B.
§  Spriteslam Concert katika mikoa yote itaanza saa nne kamili asubuhi hadi jioni… Maonyesho haya ni Bure hakuna kiingilio!!.
§  Wachukue jamaa wa kitaa basi, au washkaji wa shule yako uje tujichanganye na wajanja wengine kutoka pande tofauti tucheki Basket..
§  Spriteslam Concert inaletwa kwenu na Sprite!!
§  Tii Kiu Yako, Kunywa Sprite!! !

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.