Header Ads

Breaking News
recent

CHAMA CHA MAPINDUZI "CCM" CHA TAMBA IGUNGA

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg9veVNSWGzde-CXwoSfPK1jwz8V2gZZZRzblPGzBG50apHvFDQyywL21J70lDcA1jA1xotSUMqHWEyiABnD-hUyg0tHpy7SZm0aBbuM_-jh5z_mhUKYQBwUtbTVO7XzfVljR-NyJhhVCvf/s1600/19.jpgi
Mbuge mpya wa Jimbo la Igunga mkoani Tabora, Dr. Dalali Kafumu akiashiria ushindi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya matokeo kutangazwa na tume ya uchaguzi huo.

Tanzania  imekuwa matumbo joto kwa takribani siku kadhaa hivi, kuanzia kampeni, uchaguzi hadi matokeo baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Bw. Rostam Azizi kujiuzulu wadhifa huo. Chama Cha Mapinduzi ndicho kilicho ongoza kwa  jumla ya kura 26484 na kushika nafasi ya kwanza.

Halikadharika Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) WAMEJINYAKULIA JUMLA YA KURA 23266 huku wakishika nafasi ya pili, wakifuatiwa na CHAMA CHA WANANCHI (CUF) kwa jumla ya kura 20104 NAKUFANIKIWA KUSHIKA NAFASI YA TATU.
























No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.