| Mpendwa msomaji leo ni siku ya wanyama duniani, nimatumaini yangu kuwa tutaungana pamoja katika kuwapa haki ya wanyama woote tuwafugao majumbani mwetu na hata wale wasiyo katika makazi yetu. Fikilia kwamba wanyama nao wanadamu, wanakula na kumwa halikadhalika huhitaji kufanyiwa usafi pamoja na kutibiwa. Watu wengine tumekuwa tukiwafuga wanyama hawa kwa mfano Ng'ombe, Paka, Kuku na Mbwa lakini huenda tukawa hatujui jinsi ya kuwalinda na kupatwa na magonjwa yanayojitokeza. Lakini leo nakuletea njia 10 za kumtunza mbwa wako aishi katika afya njema, mimi leo nimemosha Mbwa wangu kwa dawa na hapo alipo yuko saafi kabisa. 1. Invest in preventive health care, such as regular veterinary exams, and consider purchasing veterinary health insurance to help cover your dog's veterinary expenses. 2. Feed your dog a high-quality diet appropriate for his life stage. 3. Exercise your dog daily, and measure his food so he doesn't become overweight. 4. Protect your growing dog's bone and joint development by restricting high-impact exercise until he's fully mature. 5. Spay or neuter your dog to prevent unwanted puppies and to reduce the incidence of certain hormone-related diseases. 6. Keep your dog's immune system strong with appropriate vaccinations. 7. Learn about dog anatomy to better understand how to care for your dog. 8. Protect your dog from parasites. 9. Ask your veterinarian about the latest methods of pain relief when your dog has surgery or is in pain from an injury or illness. 10. Recognize signs of illness so you can catch and treat problems early. |
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA