 |
| Baada ya msanii mkali mithiri ya Usher Raymond " NISHER BYEBEE" kudondoka ndani ya mjengo wa 88.5 Triple A Fm, tulipiga story na kufahamu mengi kuhusiana na muziki anaoufanya. |
 |
| Nisher & Dj Mark ndani ya "The beat 120" |
 |
| Victor Machota & Nisher ndani ya mjengo |
 |
| Kutoka kushoto ni Station Manager "Borry Bthepilot" akiwa na artist Nisher Byebee ndani ya 88.5 |
 |
| Dj Askof kama kawaida yake aligonga mawe ya kijanja, mwenyewe si unaona??? |
 |
| "KENY"kutoka kushoto huyu ndiye main hoster wa kipindi cha "The Beat 120" ndani ya live interview na msanii "Nisher" | | | |
|
|
Wakati tunapiga story za hapa na pale mtu mzima "Nisher Byebee" alifunguka kama ifuatavyo.....
Unaweza ukanipa inshort about your music? coz nataka kupublish now kwenye blog?
"Ok what would u like to know kuhusu my music?"
Umeanza lini music,unaulbam au single ngapi? Zinaitwaje, ume release ipi na unamatarajio gani kwa baadae?
"Music
nimeanza toka nikiwa na umri wa miaka 7, lakini nikaanza kua serious
zaidi mwaka 1998 hadi leo hii, hii ni baada yakumfahamu na kuvutiwa na
mwanamuziki wa kimarekani Usher Raymond IV ... Album iko jikoni...
Nyimbo zangu natunga nakuandika mwenyewe pamoja na kuziproduce kwenye
Studio yangu "Nisher Records" chini ya "Nisher Entertainment", Nilitoka
na single iitwayo "Nisher" lakini saivi nimekuja na track inaitwa
"Boyfriend"
Nategemea
kujakuwa Icon Wa Tanzania kama mwana muziki, Mwana Mitindo na Mwingizaji
filamu.... Nataka kuacha alama yangu katika nchi hii na nje! Napenda
kujulikana badae kama mtu aliye badili ama kugeuza soko la Mziki wa
Tanzania!"
Ok! Style yako kido iko kama unique hapa bongo, je unahisi unakompetition na wasanii gani wa hapapa bongo?
"Watanzani
wajipange mana ndo nimeingia Rasmi! Video yangu itatoka Muda wowote
kuanzia sasa hivi... Macho yote yawe facebook na kwenye Blog yangu... www.nisherthestar.blogspot.com"
Katika video yako tutegemee sura zipi,na itafanyikia katika mazingira yapi?...producer?
"Nadhani
kwa habari ya competition siwezi kujua sana manake spendi kujifanya
mjuaji, wanamuziki na ma Mc wanazaliwa kwa sekunde bongo, sio kwa
dakika...Hivyo nawaachia mashabiki waamue nani mkali!"
Poa! Labda unachochote cha kuongeza kwa mashabiki wako?......... You have a girfrend or wyfe! hahaaa!!
"Kwanza
video yangu ya kwanza ntaidirect mwenyewe, nataka kufanya kitu kipya
kwa habari ya Mwonekano, nataka kutoa kitu ambacho hakija zieleka
Tanzania! Ningependa Marafiki zangu Mastar mbali mbali wawepo kwenye
video hiyo!"
"Bado
Sjaamua, Lakini ningependa kama angekuwepo, AY, Mwana FA, Lamar (Fish
Crab), Ngwea, Chidi Benz nawengine Kibao! Pia mastar wa Movie.... Nataka
Video yangu isiwe tu kuhusu muziki iwe ni Hadithi ya Kusimuliwa na
kutazamwa hata miaka 10 baadae ..
Staki
kufanya kitu cha mpito kama waliopo saivi! Nataka kuweka historia ya
kidumu miaka mingi! Nilijifunza kwa Baba yangu.... Kwangu mziki sio kazi
ni Hobby tu, lakini tofauti nikwamba sitanii, nafanya kweli!"
Bilashaka
umewahi kuwa nje ya +255, je unaona nini ambacho kinakwamisha game letu
la mziki kuendelea kudidimia tofauti na nchi nyingine?
"Yap
nimesha safiri nchi nyingi, nimekua America, South Africa, Egypt, UAE
(Dubai) na Europe.... Tatizo letu kubwa au dogo nikwamba hatu taki
ku-Push the limits za kimuziki... Tanzania imeridhika na kinachoitwa
'bongo fleva' na kusahau kwamba ushindani niwa-dunia nzima sio hapa
nyumbani tu! Ndomana watu kama mimi na wenzangu kama Lamar (fish crab)
tunataka kubadilisha Game ilikuongeza ushindani na ufanisi zaidi!
Utanitumia jina la blog yako iliniirushe kwenye post zangu washkaji waicheck au vip?"
Pouuwa!
Namengine zaidi yatakujia hivi karibuni so stay tune!!!!!!!!
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA