Moplus a.k.a. baba wa ukoo
amshirikisha Roma mkatoliki na Banx katika pini linalokwenda kwa jina
"Ukweli" lilofanywa arachuga chini ya producer defxtro ndani ya
noizmekah studios,ikiwa ni nyimbo inayozungumzia jamii kiundani,moplus
anasema "Na appreciate sana Mchiz kufanya collaboration na mimi katika
project zangu,na nadhani ngoma hii mpaka sasa ndio itakayobeba album
yangu "baba wa ukoo volume 2 kwa jinsi ni concious joint.Other projects
zitakazofikia media hivi punde ni pamoja na ile video iliyokuwa
ikisubiriwa kwa hamu sana,Video ya "X-RAY" nilofanya nam2 mzima
mwenzangu JohMakini..Defxtro amekwisha nikabidhi mzigo wangu so fans
wote tuendeleze safari hii ya muziki wangu kwa maana Mola alishabusu
safari...
News kutoka kwa producer "Dx...Noiz"

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA