Header Ads

Breaking News
recent

Shukrani Toka Kwa Mweus Shah Beng wa River Camp

Ikiwa ni siku chache tangu video yangu kuruka hewani katika mtandao wa
Internet kupitia youtube,nawapa gwara fans wangu wote waloweza ku
click link na kumashavisha h.i.p.h.o.p mpaka video yangu kufikia views
zaidi ya mia nne na nusu...! otherwise harakati za kuachia mzigo
katika vituo  vya televisheni naanza wiki hii so support iendelee
machiz pamoja sana wote,one--Shah bang the Genius

http://www.youtube.com/watch?v=G7XpFmulZcU

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.