Baba wa ukoo a.k.a Mo plus ndani ya Noizmekah studios Arusha akiwa na Banx & Roma ambapo ilidondoshwa hip hop track ya ukweli.Ngoma hiyo ipo katika harakati za kufanyiwa mixing."m2 mzima nimemshirikisha Roma mkatoliki coz muziki wake upo real kama wangu so ni blessing kwangu na hip hop kuweza kuendeleza revolution, hii ni mara ya kwanza kwa Roma Kufanya track ndani ya noiz na ndani ya A-town, mbali na ngoma hii itakayotoka hewani baada ya mixing,nimeshaanza project ya mixtape na JCB, Ngoma ya kwanza ikiwa ni beat ya producer "Moscore" na mixing ya "Dx" ndani ya noizmekah Arusha.Pini hilo pia Banx kasimamia chorus na linakwenda kwa jina la "everywhere we go" |
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA