Wornig!! just for fun!!! Onyo ni utani tu, msije mkauwa mabox wenu!! Mie simooo najiweka pembeni!!!
Unaona hizo mambo?? Box alimwambia jamaa kufanya kazi siku ya wikendi, kajamaa kakakumbuka machungu yooote ya kuwahi kilasiku kazini, ukizingatia hakajawahi kupewa hata ufanyakazi bora, aaaaa!!! kichapo kwa kurudi nyuma!!!!!!!
IF ANY ONE ASKS YOU TO WORK ON A WEEKEND......
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Thursday, February 24, 2011
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA