Header Ads

Breaking News
recent

HE GOT TIME TO THINK ABOUT LIFE

 Jamaa anafahamika kama "Thelonius Cook" maarufu kama "T".Ni mtaalamu wa mambo ya computer ambaye kwa bahati nzuri nimewahi kuishi naye maskani. Jamaa ni raia wa Marekani na anapiga mishe na shirika moja la MCC.Pichani akiwa anaonekana akiwa ametulia anafikili how life is going on!


Katika hii picha inaonyesha baadhi ya sehemu ambazo Mr. T alikuwa akitembelea, ni mimea aina ya nanasi ikiwa imeshamili ile sana tu.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.