Monday, April 28 2025

Header Ads

KISHINDO TZ: Mwanadamu humwaga Seli takriban Milioni 200 kila siku - AFYA

Stori zinagonga hodi mpaka kwenye mwili wa mwanadamu, na wanasayansi kugundua ukweli utakaokushangaza kuhusu seli za mwili wako.

Kulingana na watafiti katika Chuo cha Imperial London, wanadamu humwaga takriban seli milioni 200 za ngozi kila saa, na lazima seli hizo zinadondoka ndani ya nyumba yako. 

Nikusema kuwa sehemu ya vumbi lililopo pale ndani kwako ni sehemu ya seli ya ngozi iliyokufa ambayo wanasayansi wanasema kwa kila saa hudodoka kutoka katika mwili wa mwanadamu.

Ikiwa wazo la vumbi la ngozi halijakaa vizuri na wewe, unapaswa kujua kwamba ripoti kutoka kwa Jumuiya ya Kemikali ya Marekani iligundua kuwa, mafuta ya ngozi yanayoitwa squalene kwa kawaida husaidia kupunguza viwango vya ozoni ya ndani hadi asilimia 15.

Fuatilia zidi KISHINDO TZ ili kupata njia bora za kuondoa ngozi iliyokufa mwilini mwako.

Leave a Comment

Powered by Blogger.