Serikali Kuanza Kutoa Chanjo ya Saratani ya Mlango wa Kizazi kwa Wasichana wote wa Miaka 9 - 14 .
Kupitia ukurasa wa Twitter wa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ametujuza kuhusu>>> "Mkutano Wadau wa Chanjo ya Saratani ya Mlango wa Kizazi (HPV Vaccine).
Serikali itaanza kutoa Chanjo hii kwa Wasichana wote wa miaka 9 - 14".
Mh Ummy ameongeza kuwa "Chanjo ya#HPV itatolewa bila Malipo ktk Vituo vyote vinavyotoa Huduma - vya Serikali, Binafsi, Mashirika ya Dini. Kinga ni Bora kuliko Tiba".
PAKUA NA KUSIKILIZA VIPINDI VYETU VYA REDIO HAPA>>> DOWNLOAD MP3 Mh Ummy ameongeza kuwa "Chanjo ya
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA