Header Ads

Breaking News
recent

Kifo cha Msanii Mowzey Radio cha Huzunisha Wengi!!!

Msanii maarufu wa muziki kutoka nchini Uganda, Moses Ssekibogo maarufu kama Mowzey Radio amefariki leo ikiwa ni baada ya kuwa katika chumba cha wagonjwa mahututi kwa muda wa wiki mbili. Radio amefariki akiwa na miaka 33

Mr Balaam Barugahara, ambaye ni promoter wa matamasha akizungumza na wanahabari amesema kuwa, Radio amefariki leo Alhamis majira ya saa 12 za asubuhi.

Radio amefariki katika hospitali ya Case iliyoko Kampala ambako alipetekwa baada ya kudaiwa kupigwa. Mungu ailaze roho ya mpendwa wetu mahala pema Peponi Amen!


Tutamkumbuka kwa nyimbo zake nyingi zilizobamba hadi leo hii!!! 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.