Staa anayeongoza kwa kuwa na Followers wengi Instagram.
Selena
Marie Gomez ni msanii wa kuimba na ni muigizaji pia. Alianza kuigiza kama muigizaji mkuu katika Runinga kupitia maigizo ya watoto yaliyofahamika kama Barney & Friends.
Alizaliwa: July 22, 1992 (anamiaka 25), huko Grand Prairie, Texas, United States
Anaurefu wa : 1.65 m
Ana Albums: Revival, Stars Dance, na nyinginezo nyingi
Selena Gomez ndiye Queen wa Instagram, kwa stori zaidi, sikiliza na kudowload kipindi kifupi cha Hot 112 Radio Show hapo chini>>>Bonyeza hapa>>> DOWNLOAD MP3
SIKILIZA VIPINDI VINGINE HAPA>>> RADIO SHOWS