Barack Obama na watu wengine Maarufu duniani wamkumbuka Martin Ruther King Jr katika kumbukumbu ya kuzaliwa kwake.
Leo, January 15, ingekuwa ni birthday ya 89 ya aliyekuwa mpigania haki za kiraia nchini Marekani, Martin Luther King Jr.
Wanasiasa na watu maarufu wametoa heshima zao kwa hayati Luther King kupitia mtandao wa Twitter, ambapo leo pia ni mika 50 toka Dr. King auawe kwa kupigwa risasi huko Memphis, Tennessee, na mtu mmoja aliyetajwa kuwa ni James Earl Ray.
Miongoni mwa watu maarufu duniani walioguswa na kuzungumza kitu ni aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama, Rais Donald Trump kupitia Ikulu, Melania Trump, John Lewis na wengine wengi.
Fahamu Mastaa Wanaopendwa Zaidi Mtandaoni. Bonyeza hapa>>> DOWNLOAD MP3

SIKILIZA VIPINDI VINGINE HAPA>>> RADIO SHOWS