Header Ads

Breaking News
recent

Rekodi Mpya Ndani ya NBA James Harden Aongoza.

Mchezaji wa Mpira wa Kikapu katika timu ya Houston Rockets James Harden alishinda na kuweka rekodi mpya ya kufunga pointi 60, nakutoa pasi 11 pamoja na reboundi 10 katika mechi iliyochezwa hapo jana dhidi ya Orlando Magic, Houston Rockets walishinda kwa point 114-107.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.