Video: Papii Kocha na Babu Seya waachiwa kutoka gerezani leo Ukonga Dar .
Rais Dkt. John Magufuli ametoa msahama kwa wasanii Papii Kocha na baba
yake Nguza Viking a.k.a Babu Seya waliokuwa wanatumikia kifungo cha
maisha jela. Bongo5 imepata video wakati wakali hao wa muziki
wakiachiwa.
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA