Rais Magufuli atoa msamaha kwa wafungwa 8,157 leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametoa
msamaha kwa wafungwa 8,157 huku wafungwa 1828 watatolewa leo.
“Ninatoa msamaha kwa wafungwa 8,157 na wafungwa 1,828 watatoka leo na 6,329 watapunguziwa muda wa kukaa jela,” amesema Rais Magufuli.
Aidha Rais Magufuli alieleza kuwa amesamehe watu 61 waliokuwa wamehukumiwa kunyongwa.
Chanzo: Bongo 5
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA