Video Mpya ya Ferooz - 'Najaribu' Iko hapa.
Unakaribishwa sana kuitizama video mpya ya mkali wa toka kitambo katika miondoko ya Bongo Flava maarufu kama Ferooz, wimbo unaitwa 'Najaribu'. Utizame hapo chini kisha utupe maoni>>>
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania