Header Ads

Breaking News
recent

Tanzania All Stars - 'Uzalendo' (Audio)

Wasanii wa Tanzania All Stars wametoa video ya wimbo wao wa ‘Uzalendo’ wimbo ambao unahamasisha Uzalendo wa kuipenda nchi ya Tanzania na kuwa na upendo pamoja na Mshikamano.

Miongoni mwa wasanii ambao wameshiriki kwenye wimbo huu wa Uzalendo ni pamoja na Fid Q, Maua Sama, Ben Pol, Saida Karoli, Aslay, Rayvanny, Barnaba, G nako, Roma, Stamina, pamoja na wengine wengi. Bonyeza hapa>>> DOWNLOAD 

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
  

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.