Header Ads

Breaking News
recent

PICHA: Gauni ya Rihanna siku ya Krismas japo alihisi kuwa mgonjwa, hatari!!

Msanii maarufu nchini Marekani, Rihanna, 29, ameshare picha yake akiwa ametupia gauni jekundu na kulalama kuwa hakuwa na afya njema kwani alihisi kuumwa.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Rihanna ameambatanisha ujumbe huu pamoja na hiyo picha hapo juu>>> "when you sick af but yo friend let you wear his dress! thanks @christopherkane I feel better already 💋❣️💋 .....lipstick shade: #MADAMN"

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
  

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.