Chrissy Teigen aeleza jinsi alivyokerwa baada ya ndege aliyopanda kugeuza safari baada ya masaa manne angani, kisa abiria mmoja alikosea ndege!!!
Chrissy Teigen, 32, ni mke wamsanii maarufu Marekanani kama John Legend,
38, yeye ameelezea kukerwa baada ya kupanda ndege ya msaa manane kutoka LAX Marekani kwenda Toyko,
Japan siku ya Dec. 26.
Baada ya masaa manne kutumika angani katika safari yao, ndipo wahudumu wa ndege hiyo walipogundua kuwa, mmoja wa abiria wa ndege hiyo hakuwa amepanda ndege sahihi kwa safari yake, kwa maana hiyo alikosea kupanda ndege aliyopaswa kupanda.
Baada ya kugundua kitendo hicho, basi waliamua kugeuza na kurudi Los Angeles ili kumrudisha abiria huyo!. Kitendo kilichomshangaza Chrissy Teigen na kundondosha lawama zake katika ukurasa wake wa Twitter. Chrissy kwa sasa ni mjamzito.
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA